HAMJAMBO WATUMISHI?
Kuna kundi la matapeli (Hackers & Crackers) mitandaoni wameibuka na kuanza kupigia watumishi simu kuwa:- Umedanganya umri, miaka yako imetofautiana na NIDA, huna cheti cha kuzaliwa etc.. Wanakupigia simu kwa vitisho kuwa utaondolewa katika utumishi wa Umma, hivyo watakutaka utume pesa ili waweze kukusaidia.
Watu hao wamekuwa wanajitambulisha kuwa, wapo UTUMISHI DODOMA. Na wakikupigia, hutaja nambari yako ya Check.
"Kuwa makini na usikubali kamwe"
Mawasiliano yote ya kiofisi, hufanywa kwa channel rasmi za kiofisi.
*Mtaarifu mwenzako*

Comments
Post a Comment