Udakuzi Mtandaoni Yalejea kwa Upya.


Baada ya kufutwa na google, sasa tumerudi kivingine. Ila hawa jamaa siyo.

Najua waliona perfomance ya udakuzi ilivyokuwa kubwa na matokeo yake wakaamua kufuta.

Kwa kweli ni changamoto sana, ni vipindi tu tunapita. Sasa nipo tena mtaani kwa gia mpya.

Waweza kutufuatilia sasa na kuendelea.

Nimegundua kuwa yote ni maisha tu. Hata dhotuba lijapopita kuna siku nitakuwa Kivulini.

King of Gossipy kwa muonekano wa GCLICK24.


Comments