Hivi Dar to Mombasa ni Kilometa ngapi vile?! ππ hiyo hela ya mafuta kuungurumisha hiyo mi V8 si tungekunywa bia tu ndugu yangu mkuu wa kikosi cha utekaji!? Tulikuambia uko kwenye radar 24/7 πππ— Kigogoπ°πͺ (@kigogo2014) July 2, 2019
Ukimaliza hii assignment tutafutane for a coffee tunadilishane mbinu etiπ
Comments
Post a Comment