Tengeneza Pesa kwa kutumia Brand Ambassador

Nashukuru na kuwathamini wadau wangu wote. Napenda sana kujibu kila mtu Message zake za DM lakini zinakuwa nyingi sana hadi nakosa muda wa kuwajibu kwa wakati. Ila utajibiwa tu na utapata amani moyoni mwako.
Endelea kufurahi na hii ndio ndoto yangu kwako. Pia usisahau kujiunga kwenye ile huduma ya BB ili utengeneze pesa.

Namna ya kuwa Brand ambassador ni rahisi sana.

Bofya hapa na kisha fuata maelekezo

Ni rahisi sana kwani ukiisha jiunga basi kuna mambo ambayo unatakiwa uyafanye ikiwa ni pamoja na kujiunga kwenye program maalumu za kukuwezesha kupata pesa.

Pesa hizi utazipata pindi utakapo maliza mission zao walizotaka uzifanye.

Pia kwa kuwa affliated kwa kuuza baadhi ya bidhaa zao. Hapo utapata commision mbalimbali.

Unasubiri nini?

Comments